Harusi ya Amrad Charles Mlowola na Edina Aminiel Mzirary
Bwana Harusi Amrad Mlowola akipozi na mkewe Edina muda mfupi baada ya ibada ya ndoa yao
Bwana Harusi Amrad Mlowola pamoja na Biharusi Edina Aminiel wakiingia kanisani kufunga ndoa yao.
Katika poziiii..!
Hapa ni katika pozi na wazazi wa bi. harusi
Maharusi wakipiga picha na mapambo yao
Ukumbini Hellemic Club
Wazazi wa Bwana Harusi, Bwana na Bibi Charles Mlowola wakiingia ukumbini
Wazazi wa bwana harusi
Picha za kumbukumbu na wazazi na ndugu, jamaa na marafiki..!
hiyo picha ya sita kutoka juu hao sio wazazi wa bi harusi, wazazi wa bi harusi ni hao kwenye picha ya mwisho uliyosema ndugu na jamaa. kama hujui nibora ukauliza kwanza.
ReplyDeletebi harusi anaitwa Edina Amaniel Mziray na sio Aminiel Mzirary
ReplyDelete