Sehemu ya Warembo waliojitokeza kwenye usaili wa kumtafuta Mwanamitindo mwenye mvuto wa kipekee mwaka 2012 ( Unique Model 2012) unaofanyika katika Hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam leo.
Mmoja
wa warembo waliojitokeza kwenye usaili wa kumtafuta Mwanamitindo mwenye
mvuto wa kipekee mwaka 2012 ( Unique Model 2012) unaofanyika katika
Hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam leo.Warembo wengi wamejitokeza
kwenye usaili huo huku wote wakiwa na hali ya kutaka kunyakua taji hilo
linaloshikiliwa na Mwanamitindo Asia Dachi.
Wadhamini
wa Shindano hilo ni Giraffe ocean view hotel,Dtv,Gazeti la Tanzania
Daima,mashujaa Investment ltd, Sophernner Investment co,Fabak
fashions,ltd,K.d.surelia,young don records,Kiu investment ltd,Michuzi
blog,Oriental bureau de change,,88.4 clouds fm,J’s professional
ltd,Lamada apartments hotel,Jiachie blog,Mtaa kwa Mtaa blog na Unique
entertainment blog.




No comments:
Post a Comment