Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya
mapishi ya Pemie Food Catering, Jane Mjata (kushoto) akikabidhi msaada wa
vyakula na vitu vingine mbalimbali kwa Mkurugenzi wa Kituo cha Yatima cha Umri,
Rahma Kishumba, kilichopo Magomeni
Mikumi jijini Dar es Salaam kwa niaba ya watoto yatima wanao lelewa katika
kituo hicho katika makabidhiano yaliyofanyika jana kityuoni hapo. Anaeshuhudia
katikati ni Meneja wa Pemie, Fidelis Mgeni.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya mapishi ya
Pemie Food Catering, Jane Mjata (kushoto) akikabidhi msaada wa vyakula na vitu
vingine mbalimbali kwa watoto yatima wa Kituo cha Yatima cha Umri, Muhaji
YTusufu na Sumaiya Ibrahim.Anaeshuhudia kulia ni Rahma Kishumba Mkurugenzi wa Kituo hicho.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya
mapishi ya Pemie Food Catering, Jane Mjata (kushoto) akikabidhi msaada wa
vyakula na vitu vingine mbalimbali kwa Mkurugenzi wa Kituo cha Yatima cha Umri,
Rahma Kishumba, kilichopo Magomeni
Mikumi jijini Dar es Salaam kwa niaba ya watoto yatima wanao lelewa katika
kituo hicho katika makabidhiano yaliyofanyika jana kityuoni hapo. Anaeshuhudia
katikati ni Meneja wa Pemie, Fidelis Mgeni.
Viongozi
na wafanyakazi wa PEMIE FOOD CATERING wakipiga picha ya pamojabaada ya kutoa
msaada. Kulia ni Humphrey Milinga kutoka A Plus Communication waratibu wa
shughuli hiyo.
No comments:
Post a Comment