Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wanachama wa chama hicho wa mkoa wa Dar es salaam waliomwandalia hafla ya kumpongeza leo Novemba 18, 2012 katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya maelfu ya wanachama wa CCM wa mkoa wa Dar es salaam waliomwandalia hafla ya kumpongeza Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo Novemba 18, 2012 katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment