Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu (katikati) akiongoza matembezi ya hisani ya kuchangia ujenzi wa mabweni ya wanafuzi wa kike. Kulia ni Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Rosemary Lulabuka (kulia) na kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Dk. Naomi Katunzi. (Picha na Habari Mseto Blog)
Wanafunzi wa Shule ya
Sekondari Makongo wakishiriki katika matembezi ya hisani ya kuchangia ujenzi wa
mambweni ya wasichana yaliyoanzania
Mlimani City na kuishia katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam jana.
Jumla ya sh. milioni 50 ikiwa ni pamoja
na ahadi zilipatikana.
Matembezi yakiwa yameshika kasi
Baadhi ya wadau walioshiriki matembezi hayo.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Rosemary Lulabuka
Balozi wa kampeni ya kuchangia ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wasichana
Balozi wa kampeni ya kuchangia ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wasichana
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu
Naibu Waziri wa Maliasilia na Utalii, Lazaro Nyarandu akiwa na mke wake ambaye pia ni balozi wa kampeni ya kuchangia ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wasichani, Faraja Nyarandu ambapo alichangia sh. milioni 10 kwa ajili ya kusadia ujenzi ya wasichana
Naibu Waziri wa Maliasilia na Utalii, Lazaro Nyarandu akipeana mkono na Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Dk. Naomi Katunzi baada ya kuchangia sh. milioni 10
Michango ikiendelea kukusanywa kwa njia ya mitandao
Wadau wakiselebuka
Barnabas Elius akitumbuiza wakati wa hafla ya kuchangia ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wa kike
Mwanafunzi wa Shule
ya Sekondari Baobab (katikati) akiimba pamoja na wanamuziki wa bendi ya THT
wakati wa matembezi ya hisani ya kuchangia ujenzi wa hosteli za wanafunzi wa
kike yaliyoanzia Mlimani City na kumalizikia katika viwanja vya Chuo Kikuu
jijini Dar es Salaam.
Mwanafunzi wa shule ya Sekondari Baobab, Khadija Nuru akisoma risala kwa niaba ya wanafunzi wenzake ambao walichangia kiasi cha sh. milioni 1

No comments:
Post a Comment