Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Sheikh Amr Abeid, baada ya kuvalishwa mavazi ya heshima ya moja ya makabila ya mkoa wa Arusha.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Mmoja wa Wapenzi wa CCM (hakutambulika jina lake mara moja) wakati wa Mkutano wa CCM uliofanyika kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid,Jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment