Mkurugenzi wa Sauti ya Busara Yussuf Mahamoud akitoa maelezo namna walivyokutana na Msanii Mashuhuri Mkongwe Bi Kidude Binti Baraka hadi kufikia kumtunzia Fedha zake, akionesha Risiti ambazo Msanii huyo Mashuhuri alizochukulia Fedha.
Meneja
wa Mradi wa Sauti ya Busara Journey Ramadhani akifafanua jambo mbele ya
Waandishi wa Habari i kupinga maelezo yaliotolewa na Mtoto wa Kaka wa
Msanii Mashuhuri Mkongwe Bi Kidude Binti Baraka, Baraka khamis,
alioyatoa katika vyombo vya Habari akielezea kuwa Sauti ya Busara
imedhulumu Mali za Msanii huyo leo katika Ukumbi wa Habari Maelezo
Kikwajuni Zanzibar.
Mwandishi wa Habari wa Channel Ten Tv Muniyr Zakaria akiuliza maswali katika Mkutano wa Sauti ya Busara hapo katika Ukumbi wa Habari Maelezo Kikwajuni Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment