Ofisa Uhusiano na Huduma kwa wateja katika kampuni ya Maxcom Africa, Mwanahamisi Hamisi na Ofisa Mauzo na usambazaji wa kampuni hiyo Kulwa Mapigano (wapili kulia) akiwaelezea matumizi ya mtandao wa Max Malipo kwa washiriki wa kongamano la fedha kwa njia ya mtandao uliofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Friday, November 9, 2012
Home
Unlabelled
Max Malipo washiriki wa kongamano la fedha kwa njia ya mtandao jijini Dar
Max Malipo washiriki wa kongamano la fedha kwa njia ya mtandao jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment