HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 29, 2012

Mdau Hanifa Ismail alamba Nondozz yake Katika Chuo kikuu cha Mt. Augustino Jijini Mwanza

Mdau na mwanaharakati wa maswala ya Vijana,Hanifa Ismail (kushoto) akiwa na Rafikiye katika mahafali ya Chuo Kikuu cha Mt. Augustino jijini Mwanza,mara baada ya kuhitimu Shahada yake ya Kwanza ya Uchumi
Keki ya nguvu kwa wahitimu Mara baada ya Mahafali na kutunukiwa Shahada zao.
Mdau na mwanaharakati wa maswala ya Vijana,Hanifa Ismail (kulia) akipongezwa na Mama yake Mzazi,Bi. Mariam Ndossi baada ya kulamba nondozz yake ya Kwanza katika maswala ya Uchumi,wakati wa Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mt. Augustino yaliyofanyika hivi karibuni jijini Mwanza.
Hanifa Ismail akiwa na mai love wake kipenzi,Bwana Innocent Melleck wakati wa Hafla ya kupongezwa kwa kulamba nondozz yake hiyo.
Wakilishana keki.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad