HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 9, 2012

Malindi yaichabanga Duma mabao 2 - 0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar

Mlinzi wa timu ya Duma, Mohamed Omar Mussa (kushoto) akipambana na mshambuliaji wa Malindi, Abdallah Abbas, ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar, uwanja wa Amaan jana. Malindi 2 - 0 Duma.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad