HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 9, 2012

KAMERA YA MTAA KWA MTAA NDANI YA UKEREWE.

Ili kulinda usa wa maji yanayotumika na binadamu wakazi wa eneo la Nakatunguru, Nansio Ukerewe wamebuni njia ya kupanda miti ilikuzuia wati kuingia hovyo kwenye eneo hilo kiwemo na watoto kucheza , ndani ya eneo hilo haruhusiwi mtu kuingia na viatu.
Duara la miti iliyostawi vizuri ikilinda usalama wa maji na afya za watumiaji wake linavyoonekana kwa mba
Mmoja ya watumiaji wa maji kwenye kisima hicho akisukuma pampu hiyo kujaza maji kwenye ndooyake
Jengo la Ofisi ya Shirika la Posta Ukerewe pamoja na kuwepo kwenye mazingira mazuri na kuwa na muonekano mzuri lakini mifugo inayozinguka hapo inatia kasoo kama inavyoonekana pichani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad