HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, November 11, 2012

maggid mjengwa kuunguruma channel ten TV leo saa moja na nusu jioni

Katika Channel Ten TV leo saa moja na nusu usiku kutakuwa na mahojiano aliyofanyiwa Mwanalibeneke Maggid Mjengwa na Hoyce Temu (pichani). Itahusu zaidi masuala ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari na nafasi ya Mitandao ya Kijamii kwenye kukuza demokrasia na changamoto zake. Anakuomba Usikose!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad