HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 1, 2012

DULLAYO katika "PARTY ya BONGO FLEVA" ndani ya fLAVANITe mzaLendo pUb, miLLennium tOwers JUMAMOSi hii


DULLAYO ni msanii wa BONGO FLAVA anashine sana mtaani 
ila anakosa vitu vidogo vya kumfanya awe mmoja kati yao, katika kuhakikisha na kulidhihirisha hilo kwamba Dullayo anastahili kuwa miongoni mwa wasanii mahiri na wenye kipaji,Flavanite inamdondosha Dullayo katika show ya "PARTY ya BONGO FLAVA" itakayofanyika siku ya Jumamosi hii,pale kwenye kiota cha maraha cha MzaLendo pUb,Millennium towers jijini Dar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad