Mmoja kati ya wajumbe waliohudhuria kongamano la kimataifa la vyuo vikuu vya Afrika Mashariki na Kati (AIESEC) lililofanyika Mkoa wa Kusini Unguja na kuwashirikisha vijana wasomi akibadilishana mawazo na Ofisa Mwandamizi wa CRDB anayeshughulikia Huduma kwa Wateja, Silas Katemi (kushoto) na Ofisa Uhusiano wa benki hiyo, Nassib Kalamba.
Ofisa
Masoko wa CRDB, Janerose Mwombela akitoa ufafanuzi kuhusu huduma na bidhaa za
benki ya CRDB kwa wajumbe waliohudhuria kongamano la kimataifa la
vyuo vikuu vya Afrika Mashariki na Kati (AIESEC) lililofanyika Machui Mkoa wa
Kusini Unguja na kuwashirikisha vijana wasomi.
Mmoja kati ya wajumbe waliohudhuria kongamano
la kimataifa la vyuo vikuu vya Afrika Mashariki na Kati (AIESEC) lililofanyika
Mkoa wa Kusini Unguja na kuwashirikisha vijana wasomi akibadilishana mawazo
na Ofisa Mwandamizi wa
CRDB anayeshughulikia Huduma kwa Wateja, Silas Katemi (kushoto) na Ofisa
Uhusiano wa benki hiyo, Nassib Kalamba.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta
Tanzania, Sabasaba Moshingi akizungumza na na wanavyuo katika kongamano hilo.
No comments:
Post a Comment