HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 2, 2012

BALOZI MDOGO WA CHINA ATEMBELEA MINARA YA SHIRIKA LA HABARI LA ZANZIBAR ZBC


Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk (wamwanzo kulia)akipata maelezo kutoka kwa Injinia mkuu wa Utengenezaji wa Mitambo Wei Min Zhao kutoaka CRTV China wakati Waziri huyo akiwa pamoja na balozi Mdogo wa China aliepo Zanzibar Chen Qiman alipofanya Ziara ya kutembelea minara ya kurushia matangazo ya Shirika la Habari la Zanzibar (ZBC)huko Bungi.
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk (wamwanzo kulia)akielezea jambo alipopatamaelezo kuhusu Mitambo ya Kurushia Matangazo huko Bungi wakati Waziri huyo akiwa pamoja na Balozi Mdogo wa China aliepo Zanzibar Chen Qiman alipofanya Ziara ya kutembelea minara ya kurushia matangazo ya Shirika la Habari la Zanzibar (ZBC).
Balozi Mdogo wa China aliepo Zanzibar Chen Qiman (kulia)akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Habari Maelezo Zanzibar Yussuf Omar Chunda wakati alipofanya Ziara ya kutembelea Minara ya kurushia Matangazo ya Shirika la Habari la Zanzibar (ZBC)huko Masingini Wilaya ya Mjini Unguja.
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk (wamwanzo kushoto)akiwa katika Kikao cha Majumuisho na Balozi Mdogo wa China aliepo Zanzibar Chen Qiman baada ya Ziara ya Kutembelea Minara ya Kurushia Matangazo ya Shirika la Habari la Zanzibar (ZBC)huko Ofisni kwake Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk (katikati)akiwa katika Picha ya Pamoja na Balozi wa Mdogo wa China aliepo Zanzibar Chen Qiman(kushoto ya waziri)wakati balozi huyo alipofanya Ziara ya kutembelea minara ya kurushia matangazo ya Shirika la Habari la Zanzibar (ZBC).PICHA ZOTE NA MAKAME MSHENGA MAKAME-HABARI MAELEZO ZANZIBAR. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad