Mkurugenzi wa Masoko wa TBL, Kushilla Thomas (wa pili
kulia) akiwa na washindi wa kwanza wa mashindano ya kimataifa ya mashua
kutoka Uholanzi, Frank De Waared na Gunnar Larsen katika hafla ya
kukabidhi zawadi kwa washindi hao iliyofanyika jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wageni waalikwa kwenye maonyesho hayo.
Washindi wa mashindano ya Kimataifa ya mashua wakiwa
katika picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa zawadi zao jijini Dar es
Salaam, mwishoni mwa wiki. Mashindano hayo yalidhaminiwa na Kampuni ya
Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Castle Lite.
Zawadi ambazo walipewa washirindi wa mashindano hayo.
No comments:
Post a Comment