Mgeni
Rasmi katika Hafla ya Kuwakaribisha Warembo wanataoshiriki
kinyang'anyiro cha kumsaka Mrembo wa Redd's Miss Tanzania 2012 katika
Mji wa Monduli,Mama Regina Lowassa akiwaasa warembo hao juu ya wao
kujiheshimu na kuliheshimu shindano hilo.
Mkurugenzi
wa Rino Agency ambao ni waandaaji wa Mashindano ya Miss Tanzania,Hashim
Lundenga akizungumza machache wakati wa hafla hiyo iliyofanyika kwenye
hoteli ya E'Manyata,Monduli.Kulia kwake ni Mgeni Rasmi katika hafla
hiyo,Mama Regina Lowassa,Dada Mkubwa wa Mh. Lowassa Mama Kalaine Lowassa
pamoja na Meya wa Monduli,Mh. Kadogoo.
Dada
mkubwa wa Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa,Mama Kalaine Lowassa
(kulia) pamoja na Mke wa Mh. Lowassa,Mama Regina Lowassa wakishirikiana
kwa pamoja kuwavisha mavazi ya kimasai warembo wa Redd's Miss Tanzania
2012 waliotembelea Mji wa Monduli,jijini Arusha.
Muwezeshaji
wa Ziara ya Miss Tanzania Wilayani Monduli,Robert "Bob" Lowassa
akivishwa vazi la kimasai na Shangazi yake,Mama Kalaine Lowassa ikiwa ni
pongezi kwake kwa kuwezesha Warembo hao kufika kwenye Mji huo.
Warembo wakiwa wamevalia Mavazi ya Kimasai.
Kina Mama wa Jamii ya Kimasai.
Viongozi
wakuu wa Kamati ya Miss Tanzania,toka kushoto ni Mkuu wa Itifaki wa
Miss Tanzania,Albert Makoye,Afisa Habari wa Miss Tanzania,Ricco
Hiden,Katibu Mkuu wa Miss Tanzania,Bosco Majaliwa pamoja na Miss
Tanzania 2012,Salha Israel.
Miss
Tanzania anaeshikilia taji hilo hivi sasa,Salha Israel akiwa pamoja na
Washiriki wenzake wa Mwaka jana,Jennifer Kakolaki (kulia) na Irene
Karugaba ambaye ndie Matron wa warembo hao kwa sasa.
Mgeni
Rasmi,Mama Regina Lowassa akicheza Kwaito sambamba na Warembo wa Redd's
Miss Tanzania.Mwenye Shati nyeupe ni Muwezeshaji wa Ziara ya Miss
Tanzania Wilayani Monduni,Robert "Bob" Lowassa.
Mmoja wa Warembo wa Redd"s Miss Tanzania kutoka Kanda ya Ziwa,
Mgeni
Rasmi,Mama Regina Lowassa akiwa na Uongozi wa Kamati ya Miss Tanzania
na Viongozi wa Mji wa Monduli pamoja na Warembo wa Redd's Miss Tanzania
2012.
Baadhi
ya Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012,wakishiriki kucheza Mchezo wa
Mpira wa Wavu wakatika walipowatembelea watoto waishio kwenye Mazingira
magumu waliokuwepo kwenye Shule ya Arusha jijini humo.
Warembo
wa Redd's Miss Tanzania 2012 wakishiriki kucheza mpira wa Miguu na
Watoto Yatima kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Arusha.
kuvuta kamba.
Warembo
wakishiriki kuosha magari ikiwa ni sehemu ya kuwahamasisha wakazi wa
jiji la Arusha kuwachangia fedha kwa ajili ya mahitaji mbali mbali
watoto yatima wa Jijini humo.
No comments:
Post a Comment