Shirika la Umeme Tanzania
(TANESCO) linawatangazia wananchi wote kuwa sasa huduma
ya kumpatia mteja huduma ya umeme imeboreshwa zaidi.
Wananchi wote ambao hawajapata huduma hii ya nishati
ya umeme; hasa wale wanaoishi maeneo ambayo tayari kuna miundombinu
ya TANESCO, wakilipia wanapatiwa huduma hii ndani ya wiki mbili tu.
Wateja wote wapya wanashauriwa wafike ofisi za TANESCO
zilizokaribu nao kwa ajili ya kuomba kupatiwa na kulipia huduma hii
ya umeme.
Kwa maelezo zaidi au tatizo lolote tafadhali fika
ofisi ya TANESCO iliyo karibu nawe na umuone meneja wa mkoa au wa wilaya
au wasiliana nasi kwa simu namba:
+255 767 902 312- Inj.Sophia S. Mgonja- Meneja Mwandamizi
Usambazaji
+255 782 222 996- Inj.Simon Kihiyo - Meneja Utekelezaji Usambazaji
+255 754 266 257- Inj.Seleman Mgwira - Mhandisi Mwandamizi
Usambazaji
Tahadhari: Epuka kudanganywa na Vishoka,fanya malipo yako yote
kwenye
Ofisi ya TANECSO.
TANESCO TUNAANGAZA MAISHA YAKO.
Imetolewa
na:
Ofisi ya Uhusiano
No comments:
Post a Comment