Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)
leo jijini Dar es Salaam kusisitiza utaratibu wa usajili wa magari
ya Umma unafuatwa na kutafanyika zoezi rasmi la kurejesha usajili wa
magari yote.Serikali imetoa muda wa hadi kufikia Novemba 15,2012 magari
ya Umma yaliyo na namba za kiraia, yarejeshwe namba stahiki za magari
ya Umma . Baada ya hapo Operesheni hiyo itakamata magari, pikipiki,
bajaj na mitambo ya umma,Vilevle kutakuwa na aina ya namba za usajili
zitakazotumika kama ST, PT, MT,JW, DFP, CW, SM na ,SU.Hadi sasa serikali
imesajili vyombo vya moto,123,431 yakiwemo magari,,pikipiki,bajaj na
mitambo ya umma.Kulia ni Mkuu wa Polisi kikosi cha Usalama
barabarani,Kamanda Mohamed Mpinga
Kaibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Balozi Hebert Mrango (ailesimama)akifafanua
jambo wakati wa mkutano wa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
"kuna
walionununua magari ya serikali lakini bado hawajayabadilisha namba za
usajili" ndivyo anavyoonekana kukumbusha kamanda Mpinga kwa Waziri
Magufuli.
No comments:
Post a Comment