Meneja
wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo (kulia) akizungumza na
waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa program ya
Safari Wezeshwa awamu ya pili iliyofanyika katika Ukumbi wa TBL jijini
Dar es Salaam .Kushoto ni jaji wa program hiyo,Joseph Migunda kutoka
kampuni ya TAPBDS.
Meneja
wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo (kulia) na Joseph Migunda
kutoka kampuni ya TAPBDS wakipiga makofi mara baada ya uzinduzi wa
program ya Wezeshwa awamu ya pili iliyofanyika TBL Dar es Salaam.
Meneja
wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo(kulia) na Mjasiliamali wa
kutengeneza keki, Elizabeth Chami wakionyesha picha ya mashine ya
kutengenezea keki aliyowezeshwa Dada huyo katika program hiyo awamu ya
kwanza wakati wa uzinduzi wa program hiyo awamu ya pili iliyofanyika TBL
Dar es Salaam.
Mjasiliamali
wa kutengeneza keki, Elizabeth Chami (kulia)akimuonyesha Meneja wa Bia
ya Safari Lager, Oscar Shelukindo baadhi ya bidhaa anazozalisha kutokana
na mashine aliyowezeshwa awamu ya kwanza wakati wa uzinduzi wa program
hiyo awamu ya pili iliyofanyika TBL Dar es Salam.

No comments:
Post a Comment