Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Persistent Energy Partners, Christopher Aidun akisoma
hotuba yake wakati uzinduzi rasmi wa kampuni hiyo Dar es Salaam jana.
Katikati ni Mwakilishi kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi
Msofe na Mwenyekiti Bruce Usher.
Mwakilishi
kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Msofe akisoma hotuba
yake wakati wa uzinduzi rasmi wa kampuni ya Nishati ya Persistent Energy
Partners, Dar es Salaam jana. Kushoto ni na Mwenyekitiwa kampuni hiyo
Bruce Usher na Ofisa Mtendaji Mkuu, Christopher Aidun.
Maofisa
wa kampuni mpya ya nishati ya Persistent Energy Partners (kutoka
kushoto) Ofisa Mtendaji Mkuu, Christopher Aidun, Mkurugenzi Mkazi wa
kampuni hiyo, Afrika Mashariki, Peter Malika, Ofisa Uwekezaji, Immanuel
Muro na Mwenyekiti Bruce Usher (kulia) wakisikiliza maelezo kuhusu mfumo
wa umeme wa jua toka kwa Mkurugenzi wa Miradi na Biashara wa kampuni ya
Ensol, Prosper Magali (wa pili kulia) mara baada ya uzinduzi rasmi wa
kampuni hiyo Dar es Salaam leo.
Wadau
wa nishati wakifuatilia hotuba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Persistent
Energy Partners, Christopher Aidun wakati uzinduzi rasmi wa kampuni hiyo
Dar es Salaam leo.







No comments:
Post a Comment