HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 10, 2012

Rais Kikwete amuapisha Mkuu Mpya wa Jeshi la Magereza nchini Kamishna Jenerali John Casmir Minja


Mkuu mpya wa Jeshi la Magereza nchini ,Kamishna Jenerali John Casmiri Minja akila kiapo mbele ya Amiri Jeshi mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo aubuhi.
Mkuu mpya wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Casmir Minja,akipokea miongozo ya kazi kutoka kwa Amiri Jeshi Mkuu,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa hafla ya kuapishwa iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi(picha na Freddy Maro) 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad