Meneja
wa NMB Kanda ya Kati Bi. Lilian Mwinula (wa pili kulia) akikabidhi
vifaa mbali mbali vya michezo vyenye thamani ya shilingi milioni 10 kwa
ajili ya Bonanza kwa Makamu Mkuu wa Chuo cha Dodoma Prof. Idris Kikula
mkoani Dodoma. Akiangalia (kulia) ni Meneja NMB UDOM, Alex Mpagama.
Thursday, October 25, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment