Mbunge
wa Jimbo la Kigamboni Dk Faustine Ndugulile akisalimiana na Makamu
Askofu Mkuu wa kanisa la Tanzania Assemblies Of Gog Askofu Magnus
Muiche wakati alipokwenda kutembelea pamoja na kutoa pole kwa Makanisa
yaliyoharibiwa na Mgogoro wa Kidini ambapo Mbunge alibaini Makanisa
kumi yaliyoharibiwa na Sakata hilo ambapo aliweza kutembelea makanisa
yote kumi.
Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dk Faustine Ndugulile (kulia) akiangalia gari liliochomwa katika hekaheka hizo.
Kinanda cha Kanisa la KKKT kilichoharibiwa.
Mchungaji
wa Kanisa la Kiinjili Kilutheri Tanzania KKKT Dayosis ya Mashariki na
Pwani Mtaa wa Mbagala Mch, Frank Kimambo akimwenyesha Mh Mbunge baadhi
ya Sehemu iliyoharibiwa katika Kanisa hilo ambapo alisema kuwa Ofisi
yake ilichomewa kila kiti na hawakuweza kuokoa kitu chochote, na
kuongeza kuwa sehemu nyingine iliyoharibiwa ni Madhabau.





No comments:
Post a Comment