Mshiriki wa mashindano ya Kimataifa ya mashua akijiandaa kuingia baharini tayari kwa kuyaanza mashindano hayo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye ufukwe wa Yatch Club,Masaki jijini Dar.Mashindano hayo yalidhaminiwa na kampuni ya bia ya TBL kupitia bia yake ya Castle Lite.
Sehemu ya washiriki wa mashindano ya Kimataifa ya mashua wakijiandaa kuingia baharini tayari kwa kushindana,mashindano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki kwenye ufukwe wa Yatch Club,Masaki jijini Dar.Mashindano hayo yalidhaminiwa na kampuni ya bia ya TBL kupitia bia yake ya Castle Lite.
Washiriki wa mashindano ya Kimataifa ya mashua yaliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye ufukwe wa Yatch Club,Masaki jijini Dar wakishindano katika kati ya bahari.Mashindano hayo yalidhaminiwa na kampuni ya bia ya TBL kupitia bia yake ya Castle Lite.
Juu na chini ni Picha ni sehemu ya
washiriki wa mashindano ya Kimataifa ya mashua yaliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye
ufukwe wa Yatch Club,Masaki jijini Dar.Mashindano hayo yalidhaminiwa na kampuni
ya bia ya TBL kupitia bia yake ya Castle Lite.
Sehemu ya washiriki wa mashindano ya Kimataifa ya mashua yaliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye ufukwe wa Yatch Club,Masaki jijini Dar.Mashindano hayo yalidhaminiwa na kampuni ya bia ya TBL kupitia bia yake ya Castle Lite.
No comments:
Post a Comment