HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 6, 2012

mambo ya mazaga zaga ya nyumbani

 Juzi kati kati nikiwa katika safari zangu za hapa na pale,nilibahatika kupita hapa kwenye hiki kijiwe kwa ajili ya kununua mazagazaga mbali mbali ya home  ambacho kipo katika kijiji cha Makuyuni mkoani Tanga nje kidogo ya eneo la Mombo (si mnajua tena sie masela tulivyo hodari wa kurekebisha mambo flani home??).basi nilipokuwa nateremka tu kwenye gani nikashangaa nikizongwa na jamaa kibao huku kila mmoja akipigia debe biashara yake.baadae nilipata mmoja na kuzungamza nae na mpaka kufikia kununua bidhaa zake.lakini yote kwa yote nikiwaomba jamaa tupate picha ya pamoja nao wakakubali na ndio nikapiga nao picha hizi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad