HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 16, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA VIONGOZI WA TAKUKURU, JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, leo. Mkutano huo unatarajiwa kumalizika kesho.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe, wakati Makamu alipofika kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, leo. Mkutano huo unatarajiwa kumalizika kesho.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Edward Hosea, nje ya Ukumbi wa Mlimani City, mara baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, leo. Mkutano huo unatarajiwa kumalizika kesho.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Edward Hosea, mara baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, leo. Mkutano huo unatarajiwa kumalizika kesho. Picha na OMR.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad