Spika
wa Bunge la India Mhe. Meira Kumar akimkaribisha mgeni wake, Spika wa
Bunge la Tanzania, Mhe. Anne Makinda kwenye chumba maalum kwa ajili ya
mazunguzo kuhusu ushirikiano wa nchi mbili hizi .
Mhe. Makinda akisaini kitabu cha wageni mashuhuri huku akiongozwa na mwenyeji wake, Mhe. Kumar.
Ujumbe
wa Tanzania katika mazungumzo ya kina kuhusu mahusiano ya Tanzania na
India, wakati ujumbe huo ukimsikiliza Spika wa Bunge la India.
Pokea zawadi kutoka Tanzania… ndivyo Spika Makinda anavyomwambia mwenyeji wake.
Baada
ya mkutano wa Saba wa Maspika wa Bunge wanawake kumalizika, viongozi
hao kwa pamoja walikutana na waandishi wa habari na kuwaeleza
yaliyojiri.
Kwaheri na karibu Tanzania
Ujumbe wa Tanzania na ule wa india katika picha ya pamoja.
Picha na Prosper Minja-Bunge
No comments:
Post a Comment