HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 9, 2012

Kitchen Party ya Jesca Mwalyoyo yafana sana

 Jesca Mwalyoyo
 Bi Harusi mtarajiwa Jesca Mwalyoyo (kushoto) ambaye ni mfanyakazi wa IRUWASA-Iringa akiwa katika pozi na Matron wake, Lilian Kalinga mfanyakazi wa benki ya NBC tawi la Ubungo jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya Kitchen Party iliyofanyika katikia Ukumbi wa Nguruko Annex Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
 Jesca Mwalyoyo akiwa amepozi na mama yake mzazi
 Pokea keki ya upendo mama
Jesca akikabidhiwa vyombo mbalimbali vya matumizi ya nyumbani

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad