UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Firauni,huo ndio msemo pekee ambao naweza kuutumia katika kukujuza yaliyotokea mapema leo mchana katika ajali mbaya ya Magari eneo la Mbalizi Mbeya Vijijini.
Wakati wengine wakiendelea kuokoa majeruhi wengine wamejikuta wakifanya tofauti na vile ilivyotegemewa pale kijana mmoja alipojitoa mhanga na kuingia katika mmoja wapo wa waokoaji na kutaka kumchomolea fedha “ waswahili huita mshiko”.
Asalale kijana huyo ambaye hajafahamika jina mpaka mauti yanamkuta katika tukio hilo alikwidwa na mashuhuda wa ajali hiyo na kupewa kichapo cha mbwa mwizi wa kuku.
Hebu nisiendee mbali sana kodoa jicho hapa.Picha kwa hisani ya blog ya malafyaleleo.
Jamaa akiendelea kutembezewa kichapo heviii baada ya kubainika kuwa ni kibaka mzoefu.
Duuuhh........!!! jamani yaani jamaa anapiga utafikiri sijui nini na wakati ni binadamu mwenzake!!
No comments:
Post a Comment