Kibaka alieanaswa akiiba vitu kwenye mkoba wa mama (huyo mwenye kilemba) akiwa amewekwa chini na wasamalia waliomnasa kabla ya kuanza kumtembezea kichapo alipobaini kuwa kuna vitu vingine alivyokuwa ameviiba awali.kibaka huyu amenaswa mchana wa leo katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
Kichapo cha nguzu kikaanza,jamaa analia kama mtoto mdogo huku akisema sirudiii tena jamaniiii....
hapa ni bakora kwa kwenda mbele.
Picha tofauti tofauti za kibaka huyo akilia wakati akitembezewa mkong'oto.
Baadae akasamehewa na kuamria kuondoka eneo hilo.
Msamalia mwingine alijitokeza na kumsukuma ili aondoke na asionekane tena katika eneo hilo.
Kibaka yuleeeeeee......
No comments:
Post a Comment