Askari wa Jeshi la Polisi wakijihami na matambara pamoja na
mifuko ya nailoni ili kumdhibiti mtuhumiwa aliyejipaka kinyesi mwili mzima na
kutaka kuwakimbia askari kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es
Salaam leo. Mtuhumiwa huyo ambaye jinalake halikupatikana maramoja alidaiwa
kuwa ni mwizi wa simu lakini hakimu alimwachilia huru kutokana na kukosekana
ushahidi hata hivyo askari waliendelea kumshikilia tena jambo ambalo lili
muudhi na aliporudi mahabusu aliamua kujipaka kinyesi mwilini.
Hapa wakimchomoa kwenye Chumba Cha Mahabusu kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
Akipandishwa kwenye gari la Polisi.
Akiondoshwa kwenye eneo hilo.
No comments:
Post a Comment