HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 7, 2012

Je umeichoka tattoo yako?

Je umeshaichoka tattoo yako?, Au umri umekwenda umegundua kumbe ulifanya ujinga kujichora tattoo? Au tattoo yako ilikuwa na jina la mpenzi ambaye mliachana zamani sasa unataka kuolewa? Au unategemea kugombea Ubunge, Urais tatizo una tatoo ya kusifia bangi? Je ulichora tattoo mahala ambapo patakukosesha kuolewa tena? Je umeokoka na wewe una tattoo ya freemason? Matatizo yameisha kifaa kipya kabisa cha kukwangua na kuondoa tattoo kimegundulika nunua na uweze kufuta tattoo mwenyewe ukiwa chumbani kwako.

kwa msaada zaidi BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad