Meneja
Mradi wa shirika lisilo la kiserikali kutoka Ujerumani ( EIFL) Monica
ELBERT (mzungu) akiwaangalia baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi
Chang’ombe Mazoezi wilaya ya Temeke mkoani Dar- es- Salaam wakifanya
mafunzo pamoja jinsi ya kutumia teknolojia ya upashanaji wa habari
na mawasiilano kupitia mtandao , Mradi huo wa mafunzo ujulikanao
(Public Library Innovation Programme- PIP- ) Kwa kupitia mradi huo
wanafunzi wataweza kupata taarifa mbalimbali kirahisi kwaajili ya
masomo yao na taarifa mbalimbali za kila siku.. Meneja wa mradi huo
amefurafahishwa sana baada ya kuhojiana na wanafunzi hao na kumueleza
kwamba ni ukombozi kwao kwani baada ya kumaliza mafunzo, elimu itakuwa
imewasaidia sana kuwarahisishia masuala mbalimbali ya masomo pamoja
kupata taarifa mbalimbali
Baadhi ya wanafunzi wakiwa katika mafunzo ya matumizi ya kompyuta.Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.
No comments:
Post a Comment