HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 2, 2012

hepi besdei ya kuzaliwa dada angellah Michael.



"Asante mungu wa mbinguni kwa kunipa mwaka mwingine katika maisha yangu,kupitia marehemu baba yangu mchungaji misheli singoye na mama yangu mpendwa frazia, niko katika dunia hii mpaka leo,ninawashukuru kwa kunilea mpaka nilipoweza anza maisha mapya ya ndoa na mume wangu mpendwa edmund msangi,nawapenda wanangu kelvin&larry mungu awakuze mfikie umri wangu,dada na kaka zangu pamoja na marafiki zangu wa kweli mmekuwa nguzo yangu ,thank you all ".# Angella Michael Msangi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad