Amiri waShura ya Maimamu nchini Sheikh Musa Kundecha (kulia)
akiwa na Masheikh wa Taasisi ya Umoja wa Wanazuoni wa Kiisilamu Tanzania kwenye
Msikiti wa Kichangani jijini Dar es Salaam jana wakati wa kutangaza hatua za
kuchukua dhidi ya Filamu iliyotengenezwa na wamarekani ya kumkashifu Mtume Muhamad
(SAW) ambapo wameazimia siku ya Ijumaa Kesho Waisilamu wote kukusanyika kwenye
viwanja vya Jangwani kulaani Filamu hiyo mara baada ya sala ya Ijumaa.
Waumini wa dini ya Kiisilamu waliojitokeza kwa wingi kwenye
kutangaza hatua hiyo wakati wa swala ya Alaasiri jioni jana.
No comments:
Post a Comment