Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zakaria Hans Pope (kushoto)
akimkabidhi mchango wa dola 1,000 Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni
cha Channel Ten, Said Kilumbanga kwa ajili ya kusaidia matibabu ya
mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa Stars, Alfonce Modest. Modest
aliwahi kuzichezea timu za Simba, Mtibwa Sugar, Pamba, pamoja na
Mlandege ya Zanzibar.
No comments:
Post a Comment