Maana inaonekana wahusika hawana taimu nao,miezi kadhaa sasa imepita tangu kibanda hiki cha kupumzikia abiria katika kituo cha Daladala cha Kinondoni Kanisani kipige mweleka.lakini hakuna jitihada zozote za makusudi zilizoweza chukuliwa mpaka sasa.hivyo kazi kwenu wazee wa kukata vyuma chakavu,maana ndio kitu kinachoshubiriwa kwasasa nnavyoona.

No comments:
Post a Comment