HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 6, 2012

WADAU WA MICHEZO WAZIDI KUMSAADIA ALFONCE MODEST

 Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zakaria Hans Pope (kushoto) akimkabidhi mchango wa dola 1,000 Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, Said Kilumbanga kwa ajili ya kusaidia matibabu ya mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa Stars, Alfonce Modest. Modest aliwahi kuzichezea timu za Simba, Mtibwa Sugar, Pamba, pamoja na Mlandege ya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad