Watu kibao hufurika katika Bustani za Forodhani mjini Zanzibar nyakati za jioni ili kuangalia mashindano ya vijana na watoto wa Kizanzibar wakipiga Makachu majini (kupiga mbizi) ikiwa ni moja ya viburudisho vinavyopatikana katika eneo hilo
No comments:
Post a Comment