HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 22, 2012

Send Off ya Dada Salma Adam yafana sana

 Dada Salma Adam akitambulisha baadi ya ndugu,jamaa na Marafiki wakati wa hafla yake ya kumuaga (Send Off) iliyofanyika katika ukumbi wa Rehema,Jijini Mbeya hivi karibuni.
 Dada Salma Adam akiwa na Matron wake wakati wa Send Off hilo iliyofana sana katika Ukumbi wa Rehema,uliopo eneo la Mbalizi Road,Jijini Mbeya hivi karibuni.
 Matron wa Bi. Harusi mtarajiwa,Salma Adam akikata keki.
 Shampein ikimiminwa kwenye glass.
 Cheazzzzzzz.......
 Bwana Harausi akitambulishwa ukumbini mbele ya wakwe zake.
 Bi. Harusi na Matroni wake wakiwa katika picha ya pamoja na ndugu wengine.
 Mama mzaa chema akigaragara chini wakati wa kutoa shukrani zake kwa kamati ya maandalizi ya Send Off ya mwanae.
 Wakielekea sehemu waliyopangiwa wakati wa msosi.
 Cheazzz... na wazazi.
Wakwee.
 Bi. Salma akiwa katika pozi.
 Kina mama wakimtumza Mama mzazi wa Bi. Salma wakati wa Send Off hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Rehema hivi karibuni.
 dansi limeanza na kukolea.
 Bi. Harusi katika picha ya Pamoja na wanandugu.
Bi. Harusi akiwaaga wageni waalikwa ukumbini hapo wakati akitoka huku akisindikizwa na mama zake.

1 comment:

Post Bottom Ad