HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 24, 2012

Eugene Fabian ndie Redd's Miss Lake zone 2012

Mshindi wa Redd's Miss Lake zone 2012/13,Eugene Fabian (katikati) kutoka Mara akiwa katika sura ya furaha mara baada ya kutangazwa rasmi kuwa mshindi wa taji hilo, Kushoto kwake ni mshindi wa Tatu Happiness Rweyemamu kutoka Shinyanga na Kulia kwake ni mshindi wa pili Happiness Daniel kutoka Mwanza. Washindi hawa watatu watawakilisha Kanda ya ziwa katika shindano la taifa linalotarajiwa kufanyika baadaye mwezi ujao. Mshindi wa kwanza ameondoka na kitita cha shilingi Laki 7, mshindi wa pili laki 5 na mshindi wa tatu laki nne na nusu

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad