Rais wa Rwanda,Paul Kagame akihutubia washiriki wa Mkutano Mkuu wa tano wa Vyombo vya Habari kwa nchi za Afrika Mashariki katika Hoteli ya Serena,Mjini Kigali Rwanda leo.
Rais wa Rwanda,Paul Kagame (katikati) akiwa katika jukwaa kuu na baadhi ya wajumbe kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa tano wa Vyombo vya Habari kwa nchi za Afrika Mashariki katika Hoteli ya Serena,Mjini Kigali Rwanda leo.
Baadhi ya wahariri na wamiliki wa vyombo vya habari kutoka Tanzania wakiwa katika Mkutano huo.
Rais Pau; Kagame akisalimiana na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Margaret Nantondo Zziwa mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa tano wa Vyombo vya Habari kwa nchi za Afrika Mashariki katika Hoteli ya Serena,Mjini Kigali Rwanda leo.
Rais wa Rwanda,Mh. Paul Kagame akisalimiana na Mbunge wa Bunge la Africa Mashariki,Mhe. Shy-Rose Bhanji mara baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa vyombo vya habari kwa nchi za Afrika Mashariki mjini Kigali, Rwanda leo.
Wahariri wa vyombo vya habari na Mbunge wa Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja.Picha na Mukhatar Bolyao- EAC.
No comments:
Post a Comment