HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 9, 2012

Gari yawaka moto jijini Dar leo

 Gari ya Abiria aina ya Isuzu Journey inayofanya safari zake kati ya Mnazi Mmoja kwenda Gongo la Mboto ikiteketea kwa moto mchana wa leo maenei ya Buguruni Rozana jijini Dar es salaam.Chanzo cha moto huo hakikujulikana mara moja na hakuna aliejeruhiwa wala kupoteza maisha katika ajali hii ya moto.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad