HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 29, 2012

Mwanamuziki Ashimba aipua albam yake mpya "Wakukaya" nchini Finland



Watayarishaji wa muziki wa Finland Bw Jussi Jaakonaho na Samuli Majamaki, amefanya kazi na mwanamuziki Ashimba's na kutoa albam mpya inayokwenda kwa jina la , "Wakukaya", kazi hii imefanyika kwa muda wa miaka mitatu na sasa iko tayari kabisa kwa watu wa Ulaya, Tanzania na Afrika Mashariki na duniani kote kwa ujumla wake, albam hiyo imerekodiwa na kampuni ya muziki ya Grandpop Records ya Finland.
(Picha na Tommi E. Virtanen)
Ashimba akikamua jukwaani wakati alipozindua albam yake nchini Finland katika jiji la Helnsinki hivi karibuni.
Mwanamuziki Ashimba akiwa na baadhi ya wanamuziki aliofanya nao kazi jijini Helsinki.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad