HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 21, 2012

MKUU WA MKOA WA DODOMA AKUTANA NA WAZEE KUZUNGUMZIA ZOEZI LA SENSA NA KUPATA BARAKA ZA WAZEE HAO KATIKA ZOEZI HILO

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (kulia) akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dodoma juu ya mchango wao katika kufanikisha zoezi la sensa ya watu na makazi itakayoanza usiku wa kuamkia Agosti 26, mwaka huu.
Wazee wa Mkoa wa Dodoma waliojitokeza kumsikiliza Mkuu wa Mkoa Dr. Rehema Nchimbi (Hayupo pichani) katika mkutano baina yao juu ya mchango na ushiriki wa wazee katika kufanikisha zoezi la sensa ya watu na makazi itakayoanza usiku wa kuamkia Agosti 26, mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad