HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 21, 2012

KIWANDA KIPYA CHA TANGAWIZI SAME MASHARIKI

Mheshimiwa Mbunge wa Same East, Mama Anne Kilango, akiwasili ku kikagua kiwanda kipya cha Tangawizi jimboni mwake kwenye Kata ya Mamba-Miamba, kiichojengwa kwa juhudi zake kubwa akiwa Mbunge wa jimbo hilo, Kiwanda hiki kilichogharimu Shillingi Millioni 400, na ambacho tayari kimeshaanza uzalishaji , kinategemewa kufunguliwa wakati wowote siku za karibuni.
Mh. Anne Kilango akipatiwa Maelezo juu ya mashine zitakazotumika kuandaa tangawizi hizo.

Mheshimiwa Mbunge wa Same East, Mama Anne Kilango, akikagua kiwanda kipya cha Tangawizi jimboni mwake kwenye Kata ya Mamba-Miamba, kiichojengwa kwa juhudi zake kubwa akiwa Mbunge wa jimbo hilo, Kiwanda hiki kilichogharimu Shillingi Millioni 400, na ambacho tayari kimeshaanza production, kinategemewa kufunguliwa wakati wowote siku za karibuni 
Jengo la Kiwanda hicho.
Hivi ndivyo kinavyoonekana kwa nje na ndani, Kiwanda kipya cha Tangawizi kilichopo Jimbo la Same East, kwenye Kata ya Mamba-Miamba, kiichojengwa kwa juhudi kubwa za Mbunge wa jimbo hilo, Mheshimiwa Mbunge Anne Kilango, kwa gharama ya Shillingi Millioni 400, zilizochangiwa na wadau mbali mbali nchini ikiwa ni pamoja na Harambee rasmi iliyoongozwa na mgeni Rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano Dr. Jakaya Kikwete, Mwaka 2009 katika New Africa Hoteli mjini Dar.


- Kiwanda hiki kwa sasa kimeshaanza production ya kusaga Tangawizi, na kinategemewa kufunguliwa  siku za karibuni. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad