Maharusi Godfrey Moshi na maiwaifu wake Debora Kisinga wakikata kipande cha nyaka kwewe ndafu iliyoandaliwa wakati wa sherehe yao iliyofanyika katika ukumbi wa African Dream Area D mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.Ndoa yao iliyofungwa katika Kanisa katoliki la Mt Paulo Dodoma.
cheazzzzz......
Maharusi wakifungua muziki.
picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment