HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 31, 2012

Godfrey Moshi na Debora Kisinga wameremeta mjini Dodoma

Maharusi Godfrey Moshi na maiwaifu wake Debora Kisinga wakikata kipande cha nyaka kwewe ndafu iliyoandaliwa wakati wa sherehe yao iliyofanyika katika ukumbi wa African Dream Area D mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.Ndoa yao iliyofungwa katika Kanisa katoliki la Mt Paulo Dodoma.
 cheazzzzz......
Maharusi wakifungua muziki.
picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad