katapila lapiga mweleka kwenye ujenzi wa barabara jijini dar
Hii imetokea sasa hivi maeneo ya Mbezi mwisho (Mbezi ya Ubungo) ktk harakati za kupanua barabara kwa ajili ya magari yaendayo kwa kasi. Katapira lapiga mweleka lenyewe ktk harakati za ujenzi wa barabara! Hakuna aliyepoteza maisha.
No comments:
Post a Comment